JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 28

JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 28

wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Basi tukiwa pale namtia moyo uyu kijana. Dr alitoka na akautuita ofisini kwake.basi haraka sana tukawahi ofisini kwa dr. Na dr akasema poleni sana.tukasema kwa pamoja asnete.kisha yule dr akasem la mgonhmgwa anaendelea vizur sana na kwa sasa yupo vizur na tunampa huduma ila kwa hii stage aliyofikia moyo wake umetanuka sana hivuo lazima matibabu yake akamalizie jakaya kikwete MOI. yani muhimbili kule dar es salaaam.nikasema sawa kwaiyo nyinyi mtafanya kwa uwezi wenu Akasemandio apa kuna dawa za kumtuliza kabisa.ila akitaka kupona kabisa aya magonjwa lazima mgonjwa apelekwr moi.nikasema sawa hamna shida.ninachokitaka kwanza apate huduma nzuri

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments