JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 24 na 25

JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 24 na 25

🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏 wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Basi mimi nikamuaga mwanangu basi anacheka tu bado akiri haijakomaa ya kuelewa kitu. Nikamchukua nikaingia nae chumbani kwangu. Nikavuta begi kisha nikapanga nguo zangu chache. Na vitu vyangu vengine vengine si unajua watoto wa kike tena tunakuwa na mambo mengi mengi.basi nilivyomaliza kupanga kila kitu changu. Nikambeba mwanagu tukaludi dining .nikakuta g kashaandaa chakura na tukala uku tunaongea ongea na angel ndo alikuwa anatuchangamsha sana mana ni mtundu sana mtoto wangu. Basi tulivyomaliza kula hii siku nilijisikia tu kalala na mwanagu .nikamchukua nikaingia nae chumbani na sikutaka kujiwazisha tukavuta shuka tukibembelezana mpaka tukalala pale pale.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments