
Nikasema yuko wapi . Akanionyesha uyo mkongo ,alikuwa kijana tu sema mzuri jamani mweusi mrefu ,anabod flani hivi daaah alafu akanikonyeza alikuwa amekaa na marafiki zake kama wawili kila mtu anampenzi wake kasoro yeye tu . Nikasema oooh nimemuona weka tu kinywaji mezani . Yule muhudumu akaniapa kinywaji na tena kilikuwa cha bei kubwa tu . Nikawa. Nakunywa agape aksema daaah fanya uondoke nae uyo inaonekana pesa ipo. Nikasema ndio namngojea akujileta ti napita nae . Agape akasema doooh ila wewe ebu beba vijwaji vyako nenda navyo kwenye meza yake wala haina haja ya kusubiri ushaona zari alafu unasubiri kutongozwa
0 Comments