
wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Basi mimi niliagana na james na usiku huo kama wa saa 8 mimi nilitafuta tax .ikaniludisha nyakanazi nikumuacha james hosoptali. Basi jikagika nyakanazi saa 11 alfajiri kabisa.kwakua nilivmchoka sana niliwapa majukumu tu . Na kila mtu nilimyumia majukuma yake kwenye simu kisha nikapanda kitandani kulala.yani nilipanga asubuh kukikucha nisinigue kazini kabisa mana nimechoka sana yani nimechoka mno mimi. Ba kwrli nilijilaza na kutoka na uchovu usingizi ulinipitia apa apo .nikiwa nimelala niliota mimi na james tunafunga ndoa.tena james kavaa viziri na kapendeza sna yani anvutia mbo.na mimi nilivaa shra zuri sana. Alafu sasa wite tulikuwa na
0 Comments