NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 111 na 112

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 111 na 112

Aggy akanmbia ebu njoo ndani, kweli mie nikaingia ndani, aggy akanmbia funua ilo dera nione tumbo, kweli nikafanya hivyo, aggy aknishika, akanmbia mh yani kabla sijakupiga ,nasse uyu mtoto ,una tumbo gumu mnoo. Nase hukuona dalili za mimba, nikasema hapana yani leo ndo nimehisi kichefu chefu ila nipo sawa na fresh kabisaa, aggy aksema okey nitakupima kuhakikisha tu ila nna uwakika kabisa ww ni mjamzito, mh nikaona apa kazi ipo, kweli aggy akanmbia kakojeo kisha mkojo eka umu kwnye iki kikopo kisha kilete apa, nikasema sawa hakuna shida, basi nikafanya hivyo ,na kweli nikapimwa, daaaah kweli bwana, nilikuwa na mimba,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments