
THE HOLY PROSTITUTE SEHEMU YA 11 Nilishtuka sana kwanini Julius na japhet wapo ninapoishi, yaan Julius aliponiona akaja na kunikumbatia, nikajua kila kitu kimeshaharibika, na japhet alikuwa kimya anaangalia mambo yanavyoenda , “ ulikuwa wapi mamaa, na kwanini ulihama bila kunambia, haujui umeniweka kwenye wakat mgumu kiasi gani wewe mwanamke, kwanini hata haukunambia, haya nipe hata hio namba ya dada yako ili usije ukanikimbia tena, akasema Julius Nilishindwa kujitetea kwa maana nilikuwa sielewi kwanini japhet kafanya vule, na wakat wote ambao japhet alikuwa pale, alikuwa kimya na alionekana kama hanifahamu kabisa, akawa anaasema kuwa “ umefanana sana na rafiki yangu,
0 Comments