MCHEZA CHURA Sehemu ya 41 na 42

MCHEZA CHURA Sehemu ya 41 na 42

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Akanambia mama yangu anaumwa sana nillan. Anateseka sana mama. Nikamwambia plssss ebu acha kulia kwanza na tuongeee. Akawa analia pale nikawa nambembeleza . ASEEEE hakunyamaza kwa haraka alilia sana sanura . Kama binadamu nilimuelewa sanura nilishajua kuna mengi anayapitia. Nikamtoa kwanza pale hospital. Nikaludi nae ndani ya gari. Nikamtuliza kwanza nikamwambia sanura ebu tulia na unielezeee kipenzi kuhusu ww. Au bado siwez kukujua Akanmbia nilllan .mi kwetu ni mezaliwa peke yangu. Mi ni mtoto wa pekee kwa baba na mama. Pale kwa siku ile tabata ulinipeleka ndo nyumbani kwetu. Baba alifariki nikiwa nip chuo. Baba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments