NAIMA ( MTOTO WA USWAZI) Sehemu ya 33

NAIMA ( MTOTO WA USWAZI)  Sehemu ya 33

Derick ananifwata adi niliko akanikuta nimesimama nijiani. Akasimamisha gari pembeni yangu. Na mimi nikamfwata kisha nikaingia ndani ya gari . Derick akasema mama kwani bado umeninunia . Nikasema hamna nambie mimi nipo kawaida tu . Derick akasema nisamehe mama angu ni vile tu sikutaka tuwe na haraka unajua bado hatujajuana . Nikasema sasa derick si ungenielekeza vizuri tu kwa amani kuliko kunitukana mara mimi maraya na kwenye gari lako ukanifukuza kweli . Derick akasema samahani mama la mama nilighafirika tu wala sio kwamba nilimaanisha ni hasira na ile siku kuna vitu vilikuwa vinanisumbua ndio naomba nisamehe tu naima. Nikasma mmmh

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments