NYOTA YANGU SEASON 2 SEHEMU 21

NYOTA YANGU   SEASON 2  SEHEMU 21

ILIPOISHIA. "Ni mimi mume wangu". Yule mwanamke alijibu. Samir alimkimbilia pale mlangoni yule mwanamke na kumkumbatia Kwa furaha. Mie nilikuwa kwenye sintofahamu najiuliza mwenyewe atakuwa nani huyu mbona amemuita Samir mume wake. Nilimuangalia mama Kwa jicho la kiulizo ila na mama naye hakuwa sawa kabisa................. ENDELEA....... Walikumbatiana Kwa furaha, namna Samir alivyomkumbatia yule mwanamke nilishangaa badala ya kuona wivu. Niliendelea kuniuliza mwenyewe ni nani huyu ila sikuwa na majibu. Waliachuana kwenye kumbato Samir alimbusu yule mwanamke kwenye paji la uso Kwa hisia Kali . Yule mwanamke alikuwa analia gafla alilegea na kutaka kudondoka. Samir alimuwai kumdaka. Alimbeba na kwenda ndae

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments