NYOTA YANGU SEASON 2 SEHEMU 22

NYOTA YANGU  SEASON 2  SEHEMU 22

ENDELEA..... Baada ya mama kuyasema hayo mama mdogo nae aliongezea. "Kwanza aje aseme alikuwa wapi miaka yote, hatutaki Tena drama zake. Na usipokuwa makini nitakukuta kubwaaa kuliko la mwanzo japo sikuombei mabaya ila kwanini usijifunze Kwa kilichotokea awali?". Mama mdogo alimuuliza Samir. Samir alikaa kimya. "Naenda kuzungumza na Nadra kwanza". Aliyasema hayo na baada ya hapo alikuja chumbani nilipoamia. Alifika nje ya mlango wa chumba aligonga. Nilisikia mlango unagongwa sikutaka kufungua ila baada ya kusikia sauti ya Samir akinisihi nifungue mlango anataka kuzungumza na Mimi niliukimbilia mlango ila baba sijaufungua nilifikilia kitu na kujikuta nimelegea na kukaa pale chini ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments