
ENDELEA........ Jioni Samir alipoludi nilimpa habari njema kuhusu Binti yake kupata mchumba wa kumuoa. "Hivi unamuamini Samira kabisa mpaka kutaka tumuozeshe?". Samir wliniuliza "Kwanini unasema hivyo mume wangu?". "Kwa akili za Samira kweli aolewe?, hapana si ataachikq siku Moja tu". "Mbona kabadilika na hata wewe unaona". "Bado simuamini. Samira mkorofi mno nahofia asije enda kufumuana na mume wake huko". "Amna hawezi kufanya hivyo". Nilimtuliza Samir na kumwambia hali Halisi ya maisha ya mpenzi wa mwanae. "Kwakuwa Samira amempenda hakuna shida kama wanapendana mimi nitawainua kimaisha Kwa kuwapa mtaji wa biashara". Mume wangu aliyasema hayo. Hana baya mwenyewe Samir wangu. Hukusu
0 Comments