Story.......................POWER OF MONEY (NGUVU YA PESA) Sehemu......ya.........16

Story.......................POWER OF MONEY (NGUVU YA PESA) Sehemu......ya.........16

Mtunzi....................Zooper ILIPOISHIA......... Paul kutokana na chuki zake aliwaambia ni lazima wafanye kile alichowaambia.Kila mmoja wao alichomoa bastora kwa uangalifu mkubwa..... ENDELEA......... Na tatizo ilikuwa ni namna ya wao kushika siraha zao kwa ajili ya kuwashambulia kutokana na umbali uliokuwepo. Paul aliwaambia wasongee mbele zaidi ili wapate nafasi nzuri ya kuwashambulia. Walijipenyeza na kufika mpaka mbele na wote walitazamana na kupeana sign za kuwashambulia. Mheshimiwa Rais akiwa bado anatoa pongezi kwa mbali Nestory alibahatika kumuona Paul na alipotazama vizuri aliiona bastora aliyokuwa ameishika Paul. Nestory alikuwa kwenye maswali ina maana watu wengine hawamwoni Paul! kipindi anawaza kuna mtu alipiga kelele. "Bastora

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments