MOYO ULIOTUMIKA 01

MOYO ULIOTUMIKA 01

SEHEMU YA 01 Kuna huyu mtu mmoja siwezi kulala bila kuongea naye kwenye simu....unaweza kuniona kichaa lakini siyo Mimi ni hisia nilizonazo juu yake. Najua watu wa familia yangu wanaweza kunishikia panga kwa kusema nipo tayari kutoa figo zangu kwa ajili yake. It's okay huenda wao pia wana mapenzi juu yangu kama nilivyo kwa Jabir. Sina uhakika katika dunia hii kama kuna couples wana haki ya kusema mapenzi yao yamedumu muda mrefu ukilinganisha yangu na Jabir. Tumekuwa wapenzi tangu utotoni, tukikumbatia ahadi ya maisha ya pamoja. Tulikua tukicheka na kuota ndoto za kuoana, lakini maisha yametulazimisha kukabiliana na changamoto. Sikuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments