PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 16

PENZI LA JIRANI  SEHEMU YA : 16

Rex alijibu “ukimaliza shule nitakwambia kila kitu kuhusu maisha yangu ila kwasasa jua mimi sio mtu mbaya” Na mimi kwajinsi navyo mpenda mpaka nachanganyikiwa nikakubaliana naye. Kesho yake niliporudi shule Naila akawa haongei na mimi! Nikajaribu kuomba msamaha akawa hataki hata kunisikia. Wakati huo mimi na Rex tulikua tumeanza mahusiano rasmi nampenda mpaka nachanganyikiwa. Alikua ananipa kila nachotaka. Tulikua tunafanya mambo kisirisiri bila Mama kujua maana angejua angening’oa meno ya mbele. Na apo Rex na mimi hatukuwai kukulana tena ila mabusu yalikuwepo kama kawaida😘 Kuona siku zinazidi kwenda na Naila haongei na mimi, nikaamua kumuacha nikawa nipo na marafiki wengine

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments